Vijana
wa Kigoma wakiwa na bango wakimsubiri Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani"
alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa
vipindi viwili
Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akitoa Ahsante kwa wananchi wa jimboni kwake kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe.
Zitto Kabwe "Mirumbani" akiwa amebebwa na wananchi wa jimboni kwake
alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe.
Zitto Kabwe "Mirumbani" akihutubia wananchi wa jimboni kwake
alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.
2 comments
Hongera Kwa Kazi Nzuri
ReplyIna reflect Ufanyaji mzuri wakazi.. Safi sana Kaka
ReplyPost a Comment