Mkuu
wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa
akiteta jambo na msaani wa bogofleva Linah Sanga wakati wa uzinduzi wa
promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana
na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana
chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya
kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili
kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR
kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa maswali
kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja
anapatikana.Katikati ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
Meneja
wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni (kushoto),Ofisa Mawasiliano
wa kampuni hiyo Glory Mtui wakiwa katika pozi la picha na msanii wa
muziki wa kizazi kipya Linah Sanga wakati wa uzinduzi wa promosheni ya
Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa ushirikiana na Green
Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa
muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha
ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili kushiriki katika
promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na
utachagua staa unayempenda na utatumiwa maswali kuhusu huyo Staa na
unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.
MC wa
uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa VJ Penny akiteta jambo na Ofisa
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Glory Mtui wakati wa uzinduzi wa
promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana
na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana
chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya
kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili
kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR
kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa maswali
kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja
anapatikana.
1 comments:
Nice :-* I was also there w-)
ReplyPost a Comment