Ukitizama
hii picha utaona huyu Dereva wa basi ka-overtake hili Lori lenye
kontena halafu upande wake wa mbele kuna Lori lingine linakuja, unadhani
kifuatacho hapo nini?? Uzembe huu wa Madereva hadi lini jamani maana
kwa uzembe huu ndio cha vifo vya ndugu zetu wengi maana huyu Dereva
anajisahau kuwa amebeba roho za watu wengi katika basi hili.
Ingekuwa mamlaka yako, Madereva Wazembe kama huyu wanaosababisha vifo vya watu wengi ungewapa adhabu gani?
Ajali mbaya imetokea Jumatano hii maeneo ya Mafinga mkoani Iringa katika kijiji cha Changarawe baada ya lori la mizigo lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo katikati ya barabara, kugongana na gari la abiria la kampuni ya Majinja lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam.

Kontena la lori hilo limeilalia basi na watu wengine wamelaliwa huku wengine wakiporomokea kwenye korongo.
Mpaka sasa hakuna majeruhi ni maiti tu wala hakuna mtu mtu anayedhaniwa kupona.
2 comments
Madereva waumbavu sana Wanasababisha ajali kwa uzembe
ReplyHajalewa kweli Huyo dereva?
ReplyPost a Comment