Wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), wakishindana kuvuta kamba wakati wa mazoezi waliofanya jijini Dar es Salaam jana kutokana na utalatibu waliojiwekea kwakila baada ya miezi mitatu hufanya mazoezi pamoja na wateja wao.
Mwalimu wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), kufanya mazoezi Dar es Salaam jana.

1 comments:
Iko poa Sana y-) nmeipenda Hii saili ya kuvutia wateja g-)
ReplyPost a Comment