Katika siku za hivi karibuni mcheza mieleka maarufu John Felix Anthony Cena amekuwa moja ya wahanga wa mitandao ya kijamii baada ya kuzushiwa kifo.
Habari zimesambaa kwa wingi mtandaoni kuwa Cena amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali ya gari,vyanzo vingine vinadai Cena amefariki baada ya kuumia kichwani alipokuwa mazoezini na mcheza mieleka mwingine maarufu Dwayne Johnson(The Rock)
Uongozi mzima wa WWE umekanusha habari hizo na kuziita habari zisizokuwa na tija zaidi ya kuzitafutia umaarufu baadhi ya media.
4 comments
Nakutakia maisha marefu Cena Maana nakukubali kuiko mchezaji mweleka yeyote wa WWE
ReplyAsante Kwakunitoa Wasi wasi BongoChoice
ReplyWatu hawaoni Aibu kuzushia wenzao wamekufa?!!
ReplyNi noma sana Maana Kumpoteza kipenz changu Mmmh Ingekua ngumu kuelewa
ReplyPost a Comment