Kupitia mitandao ya kijamii tumekuwa tukijifunza kuhusu mahusiano ya
msanii May wa mitego na mpenzi wake wa muda mrefu Siwema. Hivi karibuni
Siwema aliweka Post kwenye kurasa yake ya Instagram kuwa
mtoto wao ‘Curtis’ aliyeminika kuwa ni wa Nay wa Mitego sio wake ila ni Obasanjo‘ .
Siwema amakuwa akilalamika kuwa Nay wa Mitego anasema uongo kuhusu
yeye na mapenzi yao, haka kusema anamnunulia vitu kama magari ya
kifahari na nyumba.
Hichi kilikuwa kwenye kurasa ya instagram ya Siwema .
Changia Maoni Yako Hapa
Post a Comment