kwa
kweli on this mwanamusic davido amechemka to me throwing the money to
the street like slavery kwa kweli hii haijakaa poa, leo kupitia mtandao
wake wa jamii mwanakaka davido mara baada ya kuchkua degree yake na
kurejea nchini alipost video akionyesha mashabiki wake wakiwa na furaha
wakimsubiria airport, but kitendo kilichowasitikisha wadau wengi wa
musiki ni pale pindi mwanakaka huyo alipoaanza kuzirusha hela barabarani
huku gari likitembea na wananchi wakianza kuziokota kiukweli to me
kitendo hicho ni cha utumwa, sasa sijui ndo anamlipa kaka diamond coz
yeye pia alishawah kufanya hivyo katika show moja iliyofanyika leaders
club ya tigo kibokoyao, ukiwa kama mdau wa muziki unasemaje kuhusiana na
tukio hilo..?
Inatafuta...
Post a Comment