Baada ya kuwa aonekani mara nyingi machoni pawatu mwanadada huyu super star Rihanna.
Aonekana jana asubuhi
pande za New York akikatiza katika mitaa na kuingia katika Super Market
moja jijini hapo na kufanya mapapalazi kumgoja kwa saa4 mpaka alipotoka
na kumpiga picha.
Akiwapungia baadhi ya watu mikono walio kuwa wakimtizama super star Rihanna
Maeneo ya bataz akiwa anapiga stori na marafiki zake kushoto anaitwa Marry Jackson rafiki yake wa karibu sana.
2 comments
Pendezaaaa!!
ReplyYour Cute Mumyyy
ReplyPost a Comment