Inatafuta...

Picha: Kaka yetu Diamond Ndoa Inanukia Mambo Hadharani Amvisha Pete Ya Uchumba Zari.. Picha ziko hapa

 

hot news in town, is bwana mdogo naseeb abdul homa ya jiji imedhirika wazi leo kupitia mtandao kuwa amemvisha pete ya uchumba au engagement ring kwa mwanadada zari the bosslady, wadau wengi wamekuwa wakijudge yakuwa pete hiyo ilivishwa kwa

mambo ni kimya kimyaaa

madiniiii
sababu yakuwa eti mwanadada zari anaujauzito wa diamond the platnumz na anatarijia kujifungua mtoto wa kike but the truth is si kweli itakumbukwa yakuwa mwanadada wema sepetu pia alishawah kuvishwa pete hiyo so let us wait n see tuone yatakapoishia

Changia Maoni Yako Hapa

1 comments:

https://www.youtube.com/watch?t=15&v=lQVIV8WJQxs

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top