Meya
Jerry Silaa akiwa anafungua gari lake aina ya Toyota IST alilofanikiwa
kulinunua Juzi tu ambalo limegharimu muda mrefu kulipata gari hilo
ambapo anasema lilikuwa ni ndoto yake muda mrefu kwani amekuwa hana gari
na amekuwa akitumia gari la serikali na kwa muda mwingine inamlazimu
kutembea nalo katika shughuli zake binafsi.
Lakini
sasa Meya Silaa Amesema amejiskia mwenye furaha sana baada kupata gari
linalotumia mafuta kidogo na linalotumia gharama ndogo itakayomwezesha
kuishi maisha ya Furaha...Swali Je?ni unamjua kiongozi mwingine wa
kisiasa na kijamii kama meya Jerry Silaa mwenye gari la aina hii na zuri
hivi??
Post a Comment