Inatafuta...

Utakuwa Hujamtendea Haki Mpenzi wako Endapo Hujamfanyia Haya..

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTVNz91puLltk2RF98I2ei2KSY5rjObvPxW8N1_L8CNpQNTsxpLMricKXaFq9CYC8fOztK8LQGklPm_IsZWkkdt4U2qdsLsUXQYgpZ57hJFt5ruq3BtYufyVV9_QZda8jPp2MqIcvfthY/s1600/mapenzi+bora.jpg 

Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.

 Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic. Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko 

viringeni...tufanye vitu kuwaridhisha wake zetu.... imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana bwege na ukiangalia ligi ya ulaya sebleni kwako na mke wako unaonekana bwege pia...au usipokua na demu wa nje eti wewe sio mjanja. huu ni upuuzu tubadilikeni jamani. ndio sikatai usikae na washkaji lakini usipitilize sasa. Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likuuubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia..jamani ?

Changia Maoni Yako Hapa

3 comments

Kweli Kabisa Vijana wengi wana mawazo finyu sana aisee!! Tubadilike

Reply

Mi nampenda Mpenzi wang na sisiti kumuonesha

Reply

Vilaza ndo wanajali rafiku na pombe kuliko wapenzi wao sisee tubadilike jmn

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top