
Msanii
wa Bongo Fleva, Linah akiwa amezungukwa na baadhi ya ndugu na jamaa
zake wakati akikata keki iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya sherehe ya
kuzaliwa kwake iliyofanyika ndani ya boti.
Msanii
wa Hip Hop, Young Killer (kushoto), akiwa amepozi na msanii mwenzake
Edo Boy ndani ya Ukumbi wa Paparazi uliopo ndani ya Hoteli ya Slipway.
Mwana FA (wa kwanza kushoto), akiwa katika pozi na Linah, pamoja na Andrew Kusaga.
Baadhi ya misosi iliyokuwa imeandaliwa kwenye sherehe hiyo ikiwa mezani.
STAA wa
Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’, juzikati alifanya sherehe ya siku
yake ya kuzaliwa (bethidei) ndani ya boti iliyokuwa ndani ya maji ya
Bahari ya Hindi, jirani na eneo la Hoteli ya Slipway, Masaki jijini Dar
es Salaam.
Wasanii kibao wa muziki wa kizazi kipya walihudhuria sherehe hiyo iliyofana vilivyo.
















Post a Comment