Inatafuta...

Nuhu Mziwanda Kingereza Champiga Chenga Achapia Kingereza Mara Tatu! Ushahidi huu Hapa!






Sasa ndugu yangu NUHU umezidishaaa khah...Tutamwambia Shishi aache kukupiga TUKUPIGE SISI maana unatuvurugaaaa kwakweli halafu HUKOMI,unaangusha 1 baada ya lingine kudaadeki... Ipo siku utaumwa Kichwa halafu utaandika "Iam going to table the tablets of head pain" (Naenda kumeza dawa za maumivu ya kichwa) WALLAH TUTAKUPIGA!

Changia Maoni Yako Hapa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top