Kikosi cha Simba kimetoka kidedea kwa bao 5-4 kwenye match ya watani wa jadi Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe huko Dubai.
Mpambano
huo uliokuwa mkali sana ulianza kwa Yanga kupata penalty 2 kwa mpigi
lakini moja iliokolewa na goal keeper na nahodha wa Simba Ali Yusuf.
Magoli
ya Simba yalifungwa na Matama Chesama (DJ Tama) 3, Tariq Mbarak 1,na
Thani 1.magoli ya Yanga yalifungwa Yunus 2, Waleed 1, na Kulwa 1.Yanga
imeendelea kuwa mteja wa Simba Sports club hadi huko Dubai.
Kikosi cha Yanga Dubai
Kikosi cha Simba Dubai
Vikosi vya Yanga na Simba katika picha ya pamoja kabla ya gemu
Post a Comment