Inatafuta...

Mwanamuziki Davido Kutoka Nigeria Apata Mchumba...(He is Taken) Wink* Wink

Baada ya Mwanamuziki Maarufu Kutoka Nigeria Davido Kukaa Muda mrefu bila kuwa na Girlfriend Huku Wasichana mbali mbali Africa wakipiga chapuo kupata nafasi ya kuwa na Kijana huyo Machachari Hatimae Moyo wa Davido umeangukia kwa Msichana kutoka nchi ya Guinea ambayo anaishi Marekani Kwa Sasa..kwa takribani mwezi sasa Davido anaonekana na mrembo huyo kila kona anazoenda...Na mwenywe amepost picha ya msichana huyo kwenye instagram yake na kuandika 'SHE IS MY TRAP LET HER HIT DA BANDO!"

Changia Maoni Yako Hapa

2 comments

Hongera sana kaka

Reply

Vijana wa skuizi bhana... Wakisha pata ustar tu ni shida

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top