Kufuatana na hali halis ya watu kujibadili sura mpaka kukalibia jini,
siku ametokea muungwana mmoja Africa akasema viwanda vya vipodozi na
mikorogo vizimwe na kutotumika tena. Ipo siku tutawasahau wengi, wengine
tutawapa shikamoo bibi, wengine kuwakimbia kwa mabaka ya rangi nyingi
tofauti.
Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.
Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.
Post a Comment