Ngome ya kituo cha Azam TV inaendelea kuimarishwa, baada ya
kuzinduliwa kwa studio kubwa na za kisasa za kituo hicho zilizogharimu
zaidi shilingi bilioni 56, inadaiwa kuwa kampuni ya Azam Media
itamrejesha nyumbani mtangazaji mkongwe wa BBC, Charles Hillary kwaajili
ya kuja kujiunga na Azam TV.
Mchambuzi maarufu wa soka Edo Kumwembe ambaye pia hufanya uchambuzi kwenye kituo hicho, amepost taairfia hiyo kwenye akaunti yake ya Facebook kwa kuandika:
“….Mtangazaji maarufu wa BBC, Charles Hillary, anarudi nyumbani kujiunga na kituo cha Azam TV…..welcome home LEGEND….”
Hata hivyo chanzo kingine cha kuaminika cha ndani ya Azam TV kimethibitisha kuwa Hillary anarudi kujiunga na kituo hicho.

Post a Comment