Inatafuta...

Hatimaye Klyn Afungishwa Ndoa Na Reginald Mengi Nchini France Paris


BongoChoice: hayawihayawi sasa yanekuwa as we know yakuwa wawili hawa safari yao imekuwa ya mda mrefu, tulianza kuona klyn akipata uja uzito, then kujifungua na kuvishwa pete siku ya birthday yake huko dubai, finally mwanadada huyo jackuline kly leo amefanikisha kufunga ndoa huko ufaransa paris na reginald mengi, kama ilivyo ada na kuwaida mitandao ya kijamii ukiwemo na insta, as it known yakuwa hapo juzi kati mwanadada huyo aliweka tiza kwenye mtandao wake wa insta ya kuwa final destination, so kama ulikuwa hujui ndo tunakufungua macho yakuwa final destination yenyew ndio hii ya kuolewa baada ya kupitia misukosuko mengi, soon tutawaletea picha za harusi na ndoa ya klyn,na mengi huko france

Changia Maoni Yako Hapa

2 comments

Kula Shavu Mamaaaaa Hatariii

Reply

Mahaba Ninyongeni :X

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top