Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama ametoa onyo kwa kikundi cha
watu kilichojipanga kumzomea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard Membe atakayekuwa mgeni rasmi wa Tamasha la
Pasaka linalotarajiwa kufanyika hii leo katika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam.
Akizungumza na mwandishi jana, Msama alisema kuwa amepata taarifa kuhusu uwapo wa mashabiki wa mwanasiasa mmoja, ambao wamenunua tiketi nyingi kwa lengo la kuzomea
Akizungumza na mwandishi jana, Msama alisema kuwa amepata taarifa kuhusu uwapo wa mashabiki wa mwanasiasa mmoja, ambao wamenunua tiketi nyingi kwa lengo la kuzomea
Post a Comment