Dunia ina mambo sana. Uchaguzi umepita Nigeria na kigezo kilikuwa ni
Boko Haramu. Kabla palikuwa na tetesi kuwa askari fulani walikuwa
wakisusa kuwapiga Boko Haram. Jonathan akapewa shinikizo lingine
kuwamaliza boko haramu pamoja na suala la rushwa mbalo kila mtu anajua
Nigeria haiwezi tibika kwa hilo zaidi ya propaganda kupikwa ili
kubadilisha wapiga kura wasiulize rushwa. Rais Bukhari Dictator wa
zamani aliengia kiraia ana kila connection katika majeshi na haswa watu
wanye imani moja na yeye. Rais aliyekuwa na mikono na support kutoka
kaskazini na nchi za jirani kaskazini, leo kaahidi kuwa Boko haramu
watapotezwa haraka, sijui itakuwa haraka kama kuzima mshumaa. Cha
kujiuliza ni kwamba hakuwa na mkono katika kuhujumu majeshi waislam
wasiwapige boko haramu? Je hana link na boko haramu? Je anawezejae
kuiambia dunia si boko haramu wameacha kwa kuona kaingia rais wao na
pengine kuna hatua za hila zinatengenezwa ili baadhi ya malengo ya boko
haramu yaanze jadiliwa na kupitishwa, kisha akiingia tena Mkristu Boko
haramu waibuke na kuleta fujo ili lingine lipite? Itashangaza sana
wakifanikiwa kuzima boko haramu.
Inatafuta...
Post a Comment