Baada
ya Andiko lake la hapo jana akielezea machungu anayoyapata kwa
kutokuweza kupata mtoto japokuwa anatamani huku akiwataka watu waache
kumsema vibaya kwani yote hayo ni mipango ya Mugu, Mwanadada Wema
amekumbushwa kule alichomfanyia mwanadada Zarinah Hassani kwa
kitendo chake cha kushiriki kukejeli ujauzito wa mwanadada huyo.
“Girl
so you know that it hurts to say hash words towards another human being
I thought you never knew DO YOU REMEMBER THIS WORDS ---PREGNANT MY FOOT
that was a very hash word to say to a human who is caring a creature in
her womb try to fear God and he will deliver your needs..”mmoja alikomenti kwenye andiko hilo la Wema.
Siku
za nyuma kidogo mwanadada Wema alishiriki kukashifu ujauzito wa
mwanadada Zari aliopewa na Diamond ambae alikuwa ni mpenzi wa Wema, kwa
kubandika picha mtandaoni ya Zari ikiwa na maneno “Mimba My Foot”
(icheki hapo juu). Maneno ambayo sio ya kiungwana kabisa.
Japo kuwa Zari alitumia busara kubwa kumjibu, je unafikiri ni wakati sasa wa Wema kumtaka radhi Zari kwa kile alichomtendea?
Mzee wa Ubuyu
1 comments:
Hana Haja Msimsumbue Tafadhali/..
ReplyPost a Comment