Inatafuta...

Kajala: Nina Kibarua Kikubwa kwa Mwanangu Kwa Umri Aliofikia Anahitaji Uangalizi wa Nguvu

Kazi kwelikweli! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
Akichezecha taya na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Kajala alisema kuwa kwa umri huo, Paula ambaye alizaa na Prodyuza wa Bongo Records, Paul Matthysse ‘P Funky’ anahitaji uangalizi wa nguvu na kumsimamia kwa kila jamabo ili kuwakwepa ‘mijitu mikware’ ambao wanaweza kumrubuni.
“Dunia ya sasa watu siyo wema kihivyo lakini naamini sitashindwa na Mungu anisimamie,” alisema Kajala.

Changia Maoni Yako Hapa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top