Inatafuta...

Baada ya Kumzalilisha PNC..Ustadh Juma na Musoma Afulia Mbaya Kwa sasa.. Story kamili iko hapa..

Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa Video na Picha kuwekwa mtandaoni na Juma

Kweli wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.

Tupe Maoni yako

Changia Maoni Yako Hapa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top