Inatafuta...

Diamond Platnumz Amnunualia Zawadi ya Ndege (Private Jet ) Mpenzi Wake Zari ..Kuzinduliwa kesho

Habari ya Mjini ndo Hiyo leo , Baada ya Kuhamia Kwenye Bonge la Nyumba yake huko Mitaa ya Tegeta , Diamond Amemnunulia Mpenzi wake Zari zawadi ya Ndege kama shukrani kwa Kukubali kuzaa naye......
Kumbuka leo ni Tarehe 1 mwezi wa nne...Siku ya .........

Changia Maoni Yako Hapa

3 comments

Siku Ya waJinga Duniani

Reply

hahahhaaa we noma sana siku ya wajinga bhana nlikua sjaelewa

Reply

:)) Hahaha you made My day

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top