Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo
akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni
nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi
kuhubiri injiri
Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....
Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....
Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ..

1 comments:
Usalama wa Taifa huyo, katumwa kuharibu ukweli wa maaskofu
ReplyPost a Comment