Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Zubery kabwe Leo Alikutana na Wazee
wa Jimbo Lake na Kutoa Maamuzi magumu mbele ya wazee hao kama
hatogombea tena Ubunge kwenye jimbo hilo alilolitumikia kwa muongo moja
(miaka 10) huku wazee wakimbariki achukue maamuzi yanayofaa kulingana
na hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa.
Katika page yake ya facebook amepost ujumbe huu kama unavyosomeka hapa chini:
Katika page yake ya facebook amepost ujumbe huu kama unavyosomeka hapa chini:
3 comments
Hakuna maamuzi magumu aliyochukua ila amepima hali ya upepo kwenye jimbo lake haumvumii vizuri.
ReplyPole kaka kwa maamzi mazito
ReplyNdo tusemeje kaka... ndoto ya siasa ndo mezima ama???
ReplyPost a Comment