Inatafuta...

Unahisi Adhabu Gani Inawafaa Waganga ama Watu Wanaohusika na Mauaji ya Albino?

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewakamata waganga wa kienyeji 55 wakiwa na viungo vya binadamu vikiwemo meno na nywele vinavyodaiwa kuwa ni vya watu wenye albino. Inasemekana waganga ngio huagiza watu viungo vya albino ili wawafanyie dawa.

Kwa maoni yako, watu hawa wanaosababisha ndugu zetu albino wanauwawa, unahisi adhabu gani inawafaa?

Changia Maoni Yako Hapa

4 comments

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.. wanapaswa kuuliwa tu Hakuna kingine..

Reply

Kifungo cha maisha kinawafaa maana wanatuulia nduguzetu

Reply

Wanapaswa kunyongwa hadi kufa maana ni wapumbavu hawaelimiki

Reply

Tuachie sheria ifwate mkondo wake.. Hukumi iwapate kutokana na vifungu vya sheria

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top