Inatafuta...

Video: Hemed PHD Afunguka Kuhusu Kutumia Poda za Kike, Ndoa yake Kubuma na Kwanini Anapendwa Sana na Wadada..Tizame hapa..

BongoChoice TV inakuletea Mahojiano tuliyoyafanya na Mwanamuziki na Mwigizaji Mwenye Skendo Nyingi Bongo..Tulimweka Mguu Kati na Kumbana Vilivyo na Kuweza Kufunguka Kwanini Anatumia Poda na Lipshine za Kike pia Kuhusu Ndoa aliyohaidi 2014 kubuma na mwisho alisema kwanini anapendwa na Wadada mpaka muda mwingine kumgombania ANGALIA VIDEO FUPI HAPA CHINI AKIFUNGUKA UKWELI WAKE:

Changia Maoni Yako Hapa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top