Wanadamu tumezoea kusahau tulipo toka na mara nyingi historia yetu ya
kale tumeibatiza jina la ushamba la si kwa mwana dada shilole "shishi
Baby" mkali wa mduara wa kina dada hapa ameamua kuwaonyesha flash back
picture na ma fans wake wajue zaidi wapi alipo toka na jitihada pekee
ndizo zilizo mfikisha hapo kiasi kwamba hata wewe unaweza kubadili
muonekano wa maisha yako!!
mtazame hapa shilole enzi hizooooo!!
Je nuh mziwanda mtoto wa ilala born town angekutana na shlole wa enzi
hizoooo mtoto wa igunga angeweza kupagawa naye kweli? Jibu hapa ujipime
mwenyewe kama ndo ungekuwa Nuh.....
Na huyu ni shilole wa enzi hizoooo!! ...............

Je Unachakisema Juu ya Dada Yetu?
Post a Comment