Inatafuta...

Baada ya Kutemwa na Kunyang'anywa Mtoto Siwema Aendelea Kupeta, Anunua Gari Mpya Kwa hela zake Mwenyewe...

 Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford , Siwema Ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya.....
Ameweka Picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kuandika yafuatayo:

wemalicious:
 Thank u ZAMZAM MOTORS LTD.....kwakufanikisha hili...u always good to me#magari yenu yako bomba ile mbayaaa # namba ikitoka ntawambia ili msinipite barabarani!!!!

wemalicious :
She cheat again......# whaaaat?

Changia Maoni Yako Hapa

1 comments:

Hongera sana

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top