Inatafuta...

Ushahidi wa Laivu Kuwa na Nay wa Mitego na Shamsa Ford Wanapika na Kupakua Huu Hapa

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva, Nay Wamitego.

Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu mablimbali wakiwa wapo close na kutupia mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha mwadada Siwema ambae hivi majuzi alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.

Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari wa mbele kuwapondea wadada wa Bongo Movies kwenye nyimbo zake, lakini kwenye maisha halisi anaonekana kuwzimia sana kwani alishakuwa na mahusia yo kimapenzi na wadadawa bongo movies kadhaa kabla ya Shamsa wakiwemo  Nisha na Bozi.

Hapo juu ni picha ya Nay na Shamsa Wakilana Denda kwa Raha zao......

Changia Maoni Yako Hapa

3 comments

Nampenda sana shamsa ila yupo rafu sana hasa kwenye suala la nywele. Kichwani huwa ni mchafu sana hata kwenye movie zake hadi anaboa. Ajitahidi kubadilika. kuhusu kuwa na ney anijipotezea muda tu, amekurupuka tu, ajaribu kurelax kwanza.

Reply

Jumping From Frying Pan Into The Fire

Reply

Huyu Nay si aliwaimba bongo movie malaya wa viwango kumbe anawaonea wivu tu?.. Mi nlikua namuona wamaana kumbe wakuja tu..

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top