Inatafuta...

Picha: Hizi Picha Za Wema Sepetu na Idriss Usiku Mnene Wakinong'onezana na Kufutana Jasho Zazidi Kuzua Maswali



Baada ya zile Picha za Mrembo Wema Sepetu akiwa na Mshindi wa Big Brother wakifanya shopping kuzua maswali mengi mtandaoni hapo juu nimekuwekea zingine wakiwa kiwanja cha starehe Escape one wakila bata kwa raha zao huku ukaribu wao ukionekana zaidi kwa kufutana jasho na muda mwingine kushikana shikana huku wakinong'onezana kwa chini chini....

Tupe Maoni yako

Changia Maoni Yako Hapa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top