BOFYA HAPA CHINI KUONA VIDEO YAO

PICHA ZAIDI ZINAKUJIA
NI
KWELI diamondplatnumz WAMEFUNGA NDOA?? UNAKUPA UBUYU KIDOGO -----Kwa
imani ya watu wengi, huenda kuanzia Ijumaa ya jana, Zari ni Mrs Naseeb
rasmi! Apparenty wawili hao wamefunga ndoa kimya kimya ama kuchumbiana –
ofcourse kwa mujibu wa picha aliyopost Diamond kwenye Instagram usiku
wa jana..na kucaption hivi--- “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.
Alhamdulillahemoji (Sometimes Privacy has more Blessings… Thank you so
Much God,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo. So ni ndoa ama ni
engagement tu? Kila mtu anaweza kuwa na jibu lake kwakuwa Diamond
hajasema chochote zaidi ya kuandika ujumbe wa kawaida unaoweza kuashiria
kitu chochote! Hajasema wamefunga ndoa si ndio? Japo uwezekano wa kitu
kama hicho si mgumu kwao, makubwahaya.com tunakupa majibu tofauti! mambo
ya ndoa bado,lakin engagement ilisha fanyika kimya kinya.Sasa Okay,
ngoja tukuamshe! Unakumbuka kuwa Zari atakuwa na show ya Ciroc Allwhite
Party May 1, Mlimani City? Well, huenda picha hiyo ambayo wote wawili
wanaonekana wakiwa kwenye mavazi meupe ikawa ilipigwa maalum kwaajili ya
picha za promotion ya show hiyo. Ukiangalia ukurasa wa Zari kwenye
Instagram utakutana na picha ambayo anaonekana alikuwa akifanyiwa make
-up kwaajili ya photoshoot. Kwenye picha hiyo chini, Zari aliandika:
“Keep trusting, keep hoping, keep believing. The miracle that seems like
it might never arrive can happen literally overnight. Happy
Holidaysemoji#PhotoShootMakeUp.” Iangalie vizuri picha hiyo pale juu
akiwa na red gauni, Angalia make –up yake hasa wanja na lipstick yake ya
zambarau! Angalia na picha hiyo juu akiwa na Diamond. Utagundua kuwa
picha hizo zilipigwa siku moja na zote zilikuwa ni kwaajili ya
photoshoot. Ni photoshot ya nini? Jibu la uhakika, ni photoshot kwaajili
ya promo ya All White Party! Yote yalianza hapa si ndio? Kwakuwa
asilimia kubwa ya watu wanajua kuwa Diamond na Zari wamefunga ndoa, sio
wote waliofurahi. Adui namba moja wa Uganda wa hitmaker huyo wa ‘Nasema
Nawe’ King Lawrenc, amepost picha hiyo na kuandika ‘Diamond’s biggest
mistake’. Hii ni showbiz guys, usiamini kila unachokiona! Kinglawarenc
nae kafeli vbayaa.. Mhh! Acha movie liendelee!
Changia Maoni Yako Hapa
Post a Comment