Diamond Platnumz ameendelea kuwa na updates kila kukicha na hii ya
leo ni baada ya ukuta wa nyumba yake kudondoka, Benki ya CRDB kupitia
kitengo chake cha insurance imemkabidhi diamondi hundi ya hela kwa ajili
ya kujengea ukuta wa nyumba yake.
Inatafuta...
Post a Comment