Kundi la Kigaidi la Al shaabab Kutoka Somalia wametoa official Statement
(Tamko) Kuwa Wenyewe ndio walio husika na Tukio la Kuvamia Chuo kikuu
cha Garissa na kuuwa wanafunzi Takribani 147 wiki iliyopita..
Katika tamko hilo Al shabaab wamesema tukio hilo ilikuwa ni majaribio tu kwani wanapanga mauji makubwa zaidi ya hayo nchini humu kama Kenya Haita ondoa majeshi yake nchini Somalia ..
Nukuu:
"There will be no safer place for Kenyans as long as their troops are in Somalia," Rage said.
Over 5,000 KDF forces are currently in Somalia fighting the Al Shabaab militia.
“You will see more deadly attacks in your country, Kenya," said Rage as he praised the martyrs who butchered 147 kafirs (non-believers) and blew themselves up
Udaku Specially

Tizama Video Hapachini
Taarifa hiyo imesema kuwa Wanajeshi wa Kenya wamekuwa Mstari wa Mbele
kuuwa Wasomalia wa Kiislam huku Somalia na Kuwabaka Wanawake ovyo hivyo
matukio haya wanayofanya sasa ni kulipiza Kisasi...Nukuu:

Post a Comment