Inatafuta...

Zitto Kabwe Ameshinda Nafasi ya Kiongozi Mkuu wa- ACT Wazalendo.. Story kamili iko hapa..

Hongera sana ndugu zitto zuberi kabwe kwa kujinyakulia nafasi ya kiongozi mkuu, kazi iliyoko mbele yako ni kukitangaza chama kitaifa ili uweze kuwa na wabunge na mdaiwani-octoba 2015,Hakuna kazi kubwa kama kuwa kiongozi inahitaji busara na hekima ya hali juu..

Unanini chakusema juu ya zitto?

Changia Maoni Yako Hapa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Choice | Modified By Bongo Choices
Back To Top