Babu Ambi akiwa amejipumzisha sebuleni kwake....katika nyumba mpya ya mafao ya Kikombez.
Haya ndiyo maisha ya Babu Ambikile kwasasa....baada ya kutoa dozi ya Kikombe huko Loliondo.....sasa anakula mafao yake kiulaini-taratibu, Babu Ambi mpaka kitambi cha kiaina kwa mbali kimemtoka.....Kikombe cha Loliondo kina manufaa bana!

Post a Comment