Bw.harusi
David Kanumba akiwa na mkewe Nadege na wakwe zake mara baada ya kufunga
ndoa siku ya Jumamosi Machi 28,2015, katika kanisa la Faith Ministry
International Atlanta Georgia.
Bw.harusi na Bi harusi wakiwa Bw.Togo na mkewe na mwisho kulia ni mchungaji Mwinamila.
Bw.harusi na bi.harusi wakiwa na Best man Oscar na Matron Renee .
Post a Comment