Staa
wa kike anayetesa katika filamu za kibongo Halima Yahya
'Davina' amefunguka kuwa mumewe anamuonea sana wivu kiasi cha
kumfanya ajihisi kama malkia katika ndoa yao.
Akiteta na Mpekuzi, Davina alisema: "Mume wangu ananionea sana wivu hasa siku hizi nilizojazia, lakini wivu wake unaongeza chachu ya mapenzi.
"Yaani
nikichelewa kidogo tu anagomba mpaka baaasi.Lakini kwangu mimi
sioni kama ni kero.Najisikia furaha kuona nipo na mwanaume
anayenipenda kwa dhati."
Post a Comment