Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar itakapofika November 2 madaraka ya rais
aliyepo yatakoma labda baraza la wawakilishi liitishwe kutengua kifungu
hicho.
Wakati huo CUF imetoa hadi kesho ZEC wawe wametengua tamko la M/kiti wao
na kuendelea kuhakiki...
Inatafuta...
Speed 120 Aliyoihaidi Mh. Lowassa Ingetoka kwa Watu Hawa Kama Angeupata Urais

Edward Lowassa
Ni siku kadhaa zimeshapita ambazo watanzania wengi hasa wale wa mijini
waliweka matumaini yao dhidi ya utawala mpya kama nilivyoelezea hapo
juu...
Ilikuwa ukipita mitaani utagundua watu wakiwa katika matumaini mapya
yenye furaha...
Hali ni Tete Zanzibar....Bomu Lategwa Kituo cha Polisi, JWTZ Waliwahi na Kulilipua

Jeshi la Polisi Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi (JWTZ),
limefanikiwa kuteguwa bomu lilitegwa eneo la Mkunazini karibu na kituo
cha polisi mjini Zanzibar.
Bomu hilo lilitegwa na watu wasiofahamika na jeshi la polisi lilipata
taarifa...
Nimeikumbuka Kauli ya DK SLAA "Chama Changu Chadema Hakiwezi Kushinda Urais Mwaka huu 2015 Kutokana na Kula Matapishi Yetu..."

DK Slaa
"Chadema
hakikuwa chama cha kukumbatia ufisadi na mafisadi..hakikuwa chama cha
kusomba watu na magari mikutanoni...hakikuwa chama cha kuiba na kununua
kura...sasa Chadema hii si ile tulioijenga....
nimeamua kustaafu siasa maana najua...
Kwa Wanandoa Tu: Ni Halali Kupokea Simu ya Mumeo/Mkeo Akipigiwa?

In case mumeo/mkeo yuko mbali kidogo na simu yake halafu ikatokea
akapigiwa simu na mtu ambaye aidha ni namba ngeni au iliyohifadhiwa
kwenye simu, na wewe upo karibu na simu yake, Je, unaweza kumpokelea!
Nawasilis...
Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura......Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian
Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa
katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo na ni
marufuku kusafirisha masanduku ya kura...
Ukimya wa Mke wa Magufuli Unatia Shaka

Jamani Mke wa Magufuli mbona haonekani kwenye Campaign kama ilivyokua kwa Mama Salma, Mama Anna Mkapa na Mama Regina Lowassa. Kuna nini hapa katika...
CCM Waituhumu UKAWA Kumwagia Mikojo Ofisi zao Tanga.. Wadai Lowassa Aliahirisha Mkutano Tanga Kwa Sababu Ya Matatizo Yake

Chama cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha wafuasi
wa vyama vinavyounda UKAWA kupiga mawe na kutupa chupa, baadhi zikiwa na
mikojo, kwenye Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga jana, tarehe 28 Septemba
2015, kabla na baada ya mkutano wao wa kampeni uliofanyika...
Ray C akirejesha Umbo lake La Mwanzo Sasa Aongeza Mvuto Picha ziko Hapa..

Huenda jitihada za Ray C kukirejesha kiuno chake kisichokuwa na mfupa zimeanza kuzaa matunda!
Kwa muda mrefu muimbaji huyo amekuwa akijaribu kuupunguza unene wake
uliompoteza muonekano wake wa zamani uliompa sifa jukwaani na sasa picha
zake mpya...
TFF imemfungia Mchezaji Nyoso Kwa Miaka Miwili Kucheza Mpira wa Miguu Baada ya Kumshika Mchezaji Mwenzie Makalio

Kamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia
ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la
Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya City
kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha...
Je wajua ni kwanini Tanzania Itaishinda Kenya kwa kuwa na Ma Milionea wengi? Soma hapa

Why Tanzania Will Soon Overtaken Kenya In Creating Millionaires
Tanzania is creating dollar millionaires faster than any other East African country, a new report says.
This means that East Africa’s newest millionaires are likely to come
from Tanzania,...
Mchungaji Peter Msigwa Na Wafuasi 61 Wa Chadema Watiwa Mbaroni

JESHI la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani Iringa jana
walitumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi zaidi ya 61 wa chama
cha Demokrasia na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea ubunge...
PICHA ya Ndege Mbugani Ikionyesha Twiga Akipandiswa Kwenye Ndege...Je nini Kinaendelea ? Ni Photoshoped Au?

Siku ya Leo Kwenye Mitandao ya Kijamii zimesamaa picha zikionyesha ndege
ya Nje akiwa Mbugani Huku Baadhi ya Watu wakishughulika Kumpandisha
Twiga kwenye ndege hiyo....
Watu wengi Wamelaani kitendo hicho kwa kukumbushia tukio la Twiga Kusafirishwa...
Shamsa Ford: Nataka Mabadiliko.....Siwezi Kujidhalilisha Kufuata Fedha CCM

Staa wa filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amesema hatobadilisha msimamo
wake wa kushabikia vyama vya upinzani kwa kulaghaiwa na wasanii wachache
kwa maslahi yao binafsi .
Shamsa amesema hayupo tayari kufuata maamuzi ya watu wengine hata kwa...
Magufuli Aigeuzia Kibao Taasisi ya Utafiti Iliyompa Ushindi wa Urais..Adai Amepunjwa Asilimia

Kahama. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema waliofanya
utafiti wamempunja asilimia kwani ana uhakika wa kushinda kwa asilimia
95 na si 65 kama zilivyotajwa kwa kuwa wananchi wanampenda, naye yuko
tayari kufanya kazi ili kuwaletea maendeleo.
Akizungumza...